Tuandikie
support@spekita.comWeka namba iliyosajiliwa, reference ya ombi na muda tatizo lilipotokea. Usitume PIN.
SpekitaPay
Tutakusaidia kuhusu ombi la malipo, reference, historia, akaunti au taarifa za mkopo.
Weka namba iliyosajiliwa, reference ya ombi na muda tatizo lilipotokea. Usitume PIN.
Tumia mawasiliano haya rasmi kwa msaada wa haraka wa SpekitaPay.
Kwenye ukurasa wa kuingia, gusa Umesahau PIN? na uweke tarakimu 9 bila sifuri ya mwanzo au tarakimu 10 zinazoanza na sifuri. App itakagua namba moja kwa moja; namba iliyothibitishwa pekee ndiyo itaruhusiwa kuomba OTP ya SMS na kuweka PIN mpya. Usimpe mtu yeyote OTP au PIN yako.
Usitume ombi jingine mara moja. SpekitaPay itaendelea kufuatilia jibu rasmi la mtandao na itakuonyesha au kukutumia notification baada ya jibu la mwisho kupatikana.
Ikiwa PIN haikuwekwa, ombi lilikataliwa au muda uliisha, hakuna kiasi kinachopaswa kuingia kwenye deni. Hakiki historia kabla ya kujaribu tena.
SpekitaPay haitakuomba PIN ya mobile money ndani ya app. PIN huwekwa kwenye ombi rasmi la mtandao wa simu pekee.