Mawasiliano

Tupo tayari kusikiliza.

Kwa msaada wa kifaa, hali ya malipo, ushirikiano au swali kuhusu huduma, tumia njia rasmi hapa chini.

Barua pepe

Tuandikie

support@spekita.com

Eleza jina lako, huduma unayotumia na msaada unaohitaji. Usitume PIN, password au taarifa kamili za kibenki.

Simu

Tupigie

+255 652 772 743

Kwa maswali ya huduma na msaada kupitia mawasiliano rasmi ya Spekita.

Kabla ya kuwasiliana

Tusaidie kukuhudumia haraka.

Tuma maelezo yanayotosha kutambua huduma, bila kutuma siri zako za kifedha.

1

Jitambulishe

Jina na namba ya simu iliyotumika kwenye huduma.

2

Eleza suala

Taja kama linahusu onboarding, malipo, kifaa au release.

3

Weka reference

Ikiwa unayo, tuma reference ya huduma au muamala—si PIN wala password.