Uwazi
Taarifa sahihi za mpango, malipo na hali ya kifaa katika kila hatua.
Kuhusu Spekita
SPEKITA GENERAL TRADERS CO LTD inaunganisha teknolojia na utendaji wa biashara ili kurahisisha upatikanaji wa vifaa, malipo, msaada na device lifecycle.
Tunataka kila hatua—kuanzia onboarding hadi release—iwe na maelezo yanayoeleweka, kumbukumbu sahihi na msaada unaopatikana.
Taarifa sahihi za mpango, malipo na hali ya kifaa katika kila hatua.
Mifumo na taratibu zinazolinda mteja, kifaa na biashara.
Njia rasmi za kupata maelezo, restoration na release iliyoidhinishwa.
SpekitaAgent, SpekitaSecure na SpekitaPayments hufanya majukumu tofauti huku zikichangia safari moja ya huduma.
Kukusanya taarifa kupitia njia zilizoidhinishwa.
Kuthibitisha mpango na kifaa kinachohusika.
Kufuatilia malipo, usalama na support.
Release na kumbukumbu za mwisho kwa utaratibu.
Tuambie mahitaji yako ya biashara au huduma unayotafuta.